Plot for Sale Kibaha Misugusugu

Plot for Sale Kibaha Misugusugu

Joined
Nov 18, 2019
Posts
45
Reaction score
48
Habari wanajamii, Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo la Misugusugu, Kibaha. Karibu na kiwanda cha Lulu Cement kina ukubwa wa 400sqm (16m kwa 25m). Kipo katika eno ambalo limepimwa na kupangwa, pia eneo ni tambarare . Umbali kutoka Morogoro Road ni 2.7km bei ni Shilingi milioni nne (4million) za kitanzania.

kwa sasa hakina hati, document iliyopo ni mkataba wa ununuzi na makabidhiano baina yangu na kampuni iliyoniuzia (Remmy Brands) Kwa mawasiliano zaidi tuwasliane kupitia 0687087021/0683500221/ kwa WhatsApp only 0752904918
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom