comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,701
- 17,987
Ameshakunywa DENGE.comrade_kipepe njoo umchukue jamaa yako huku kashindikana
Ameshakunywa DENGE.comrade_kipepe njoo umchukue jamaa yako huku kashindikana
Yaani wewe na magwanda yako ya CCM kumbe hata Nida huna 🤔Kama huna Nida ni utaratibu gani mwingine unaofaa?.
Ihave no such intention, but others have that need.Yaani wewe na magwanda yako ya CCM kumbe hata Nida huna 🤔
Mwajiriwa atapata?uwe na namba ya nida tu tukupe mkataba wa mwaka
😂😂 Haya ndio yale matangazo ya kazi ya kwenye nguzo za umemeTangazo limekaa kijanja sana...
Maelezo hayajitoshelezi...
Kiwanda cha nini ?
Muda wa kazi ?
Mnatoa mikataba ?
Vigezo ? Cv ? Elimu ? Umri ? Jinsia ?
Ama ni wale ambao mnatoa matangazo then, wakija watu mnawabebesha mabeseni wakauze, alafu kulipwa ni commission?
Bongo nyoso
Kwanza huo mshahara unakiuka sheria ya kima cha chini kilichotangazwa na Serikali.ndio mana nakwambia kichwani hakuna kitu mshahara tu unajieleza kila kitu
Ewaa....ndo yenyewe mkuu😂😂 Haya ndio yale matangazo ya kazi ya kwenye nguzo za umeme
Mimi maisha ninayosura yako tu inaonyesha shule NO
njo nikupe maisha mdogo wangu
5 kwa siku familia inakula nn?Ila mkuu, mtaani wapo wanaotamani hy 200k hasa Ukiwa huna mishe yoyote.
Kuna wazazi wetu kibao wanafanya kazi za 150k na wanalisha familia fresh kabisa
Kama hujui haina maana haipo5 kwa siku familia inakula nn?