kibaha misugusugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Plot for Sale Kibaha Misugusugu

    Habari wanajamii, Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo la Misugusugu, Kibaha. Karibu na kiwanda cha Lulu Cement kina ukubwa wa 400sqm (16m kwa 25m). Kipo katika eno ambalo limepimwa na kupangwa, pia eneo ni tambarare . Umbali kutoka Morogoro Road ni 2.7km bei ni Shilingi milioni nne (4million)...
  2. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

    Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo. Njoo DM tuongee naamini...
  3. Kilimi

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

    Natafuta wanyakazi kiwanda kipo Kibaha Misugusugu, mshahara Tsh. 200,000 kwa mwezi, bonus zipo, overtime zipo kama unarafiki au ndugu naomba umpe tangazo hili. Mawasiliano: 0657392242
Back
Top Bottom