Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

Bro, soma comments #56 then iweke moyoni then you will fill the pain ya jamaa, ukiwa nje usiongelee ya ndani bro
Mkuu naelewa vizuri watu wamepigika hadi wengine wanaokota makopo, wanatembeza mbegu za maboga na dawa za kiume bar na wanazungusha pipi na maji stendi/barabarani. Sipuuzi jitahada zao ila lazima tukubali hizo ni kazi za utumwa zisizo za staha(decent jobs). Hapa nawatetea bure waboreshwe maslahi yao watu wa aina hiyo.
 
Mkuu naelewa vizuri watu wamepigika hadi wengine wanaokota makopo, wanatembeza mbegu za maboga na dawa za kiume bar na wanazungusha pipi na maji stendi/barabarani. Sipuuzi jitahada zao
Hii ndo point yangu humu kwenye hii mada

Tuachane Na hayo mengine ambayo kwa sasa haiwezekani, mana Huwez kukaa mtaani ukisubir kazi ya 50k kwa siku halafu ukaacha kazi ya muda huo huo ya 8k kwa siku
 
Mkuu naelewa vizuri watu wamepigika hadi wengine wanaokota makopo, wanatembeza mbegu za maboga na dawa za kiume bar na wanazungusha pipi na maji stendi/barabarani. Sipuuzi jitahada zao ila lazima tukubali hizo ni kazi za utumwa zisizo za staha(decent jobs). Hapa nawatetea bure waboreshwe maslahi yao watu wa aina hiyo.

Achaneni na huyu tajiri,

mkifungua ofisi mbeya, Nipo kijana wenu jobless pro max, Tugawane huo umaskini.
 
Ulikuwa ndio umeumaliza Chua na huna familia, pia inaweza kuwa kazi ya 200k lakini kuna dili nyingine za pembeni au viposho vya hapa na pale au kazi nusu siku tu, halafu labda hata ni zamani wakati nauli ni jero, sasa hivi nauli ya chini kabisa ya dalaladala ni buku na hakuna boda anayekubali buku tena.
Usimlishe maneno jamaa, yeye amesema alikuwa analipwa 200k hayo mambo ya viposho hajasema
 
kazi gani hiyo ya kumlipa 200k kwa mwezi? Hiyo hela umeona ndio ya kututishia sisi? Kafie mbele tapeli wewe. Sorry Mbaga Jr nilidhani nam quote huyo tapeli
Unanitukana Afu unaomba msamaha 😂

Sasa c ungefuta hy comment na kumuweka mhusika
 
Back
Top Bottom