Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

Tangazo limekaa kijanja sana...
Maelezo hayajitoshelezi...
Kiwanda cha nini ?
Muda wa kazi ?
Mnatoa mikataba ?
Vigezo ? Cv ? Elimu ? Umri ? Jinsia ?

Ama ni wale ambao mnatoa matangazo then, wakija watu mnawabebesha mabeseni wakauze, alafu kulipwa ni commission?

Bongo nyoso
 
Labla tuu umeshindwa kujiongeza khs Hiyo kazi, ukiona kazi ya namna hiyo ujue wanahitajika vibarua na kibarua hachagui Kazi, yeye anafika eneo la tukio na kuanza na alichokikuta
 
wenye shida tu ya kazi ndio ingetakiwa waulize maswali ,au anicheki kwa hiyo namba nimpe maelekzo
 
Tangazo limekaa kindezi, ilibidi aseme ni kazi ngumu wanahitajika watu(vijana) wasio na matatizo ya afya
Mkuu, tangazo lipo vzr na linaeleweka sana tuu, n nyie mmeshindwa kujiongeza.

Ww unaona huo mshahara, unadhani itakuwa n kazi ya ofisini, unaingia na tshirt nyeupe unatoka ikiwa nyeupe vile vile?

Umeambiwa uwe na nida tuu, sasa kama wangetaka elimu yako c wangesema uje na vyeti, hakuna mambo ya elimu mana inahitajika nguvu na sio akili za darasani.

Wakuu, mbona tangazo limekaa kueleweka fresh tuu
 
Labla tuu umeshindwa kujiongeza khs Hiyo kazi, ukiona kazi ya namna hiyo ujue wanahitajika vibarua na kibarua hachagui Kazi, yeye anafika eneo la tukio na kuanza na alichokikuta
1778152832629.png
 
Mkuu, tangazo lipo vzr na linaeleweka sana tuu, n nyie mmeshindwa kujiongeza.

Ww unaona huo mshahara, unadhani itakuwa n kazi ya ofisini, unaingia na tshirt nyeupe unatoka ikiwa nyeupe vile vile?

Umeambiwa uwe na nida tuu, sasa kama wangetaka elimu yako c wangesema uje na vyeti, hakuna mambo ya elimu mana inahitajika nguvu na sio akili za darasani.

Wakuu, mbona tangazo limekaa kueleweka fresh tuu
Kwa hiyo tunamchelewesha huyo dada mleta tangazo kupewa kamisheni yake?
 
Mkuu, tangazo lipo vzr na linaeleweka sana tuu, n nyie mmeshindwa kujiongeza.

Ww unaona huo mshahara, unadhani itakuwa n kazi ya ofisini, unaingia na tshirt nyeupe unatoka ikiwa nyeupe vile vile?

Umeambiwa uwe na nida tuu, sasa kama wangetaka elimu yako c wangesema uje na vyeti, hakuna mambo ya elimu mana inahitajika nguvu na sio akili za darasani.

Wakuu, mbona tangazo limekaa kueleweka fresh tuu
Kuna mtu ana nguvu kama zote lakini labda ana allergy hawezi kufanya kazi kiwanda cha vumbi jingi kama cha cement, vigae n.k
 
Back
Top Bottom