Watu Wanataka kazi ya zege itangazwe kwa mbwembwe 😂comrade_kipepe njoo umchukue jamaa yako huku kashindikana
Ah ila mm sipend supu yao, ina mafuta sana 😎Nyoka wenyewe siku hizi hawatoi hela, wajuba wameanza kuwachemsha😀😀
Ulivoandika dollar 80 umenikumbusha Samia alisema deni la taifa lilitajwa kwa Tsh inaonekana n pesa nyingi hvy akaagiza deni liwe linatajwa Kwa dollars tuu 😂min -me mimi na wewe ni ndugu kabisa nimekutafutia kazi jamaa yangu hii hapa
Ni kama dollar 80 kwa mwezi
Utakula sana mademu ukipata hii kazi
mimi mwenyewe boss wa roho na mwili na pesa ninazo ukiona nagawa ridhki kwa wanang ujue ndio hivo kwanza nataka muingie kwenye mfumo upate ridhki kwanza mambo mengine yatakuja mbelemin -me mimi na wewe ni ndugu kabisa nimekutafutia kazi jamaa yangu hii hapa
Ni kama dollar 80 kwa mwezi
Utakula sana mademu ukipata hii kazi
Fursa? Kazi ngumu mshahara 200k kwa mwezi na mnahitaji watu wenye nguvu?!wajuaji wengi sana unaweza kuta tangu mtu amejiunga hajawai kuona fursa kama hizi waz waz
Bosi unatutisha 😁unapigwa tu watu wenye akili kama zako