Natafuta wa kwenda nae saba saba

gfsonwin acha kututia mhemuko,vibaya hivo,wenzio ndokwanza tumeachika.

jamani Bishanga basi akaribu hapa brajec uje upate japo ka whisk, nitakuwa na cacico na mwana jf yeyote anayetaka aje atujoin vichwa vimechoka jaman tupumzikepo.

haya ya kwangu ni lugha tu za kumtoa nyoka pangoni, gia ya kuombea mchezo kwa hubby hiyo................so na assume am calling ma hubby.
 
Last edited by a moderator:
br

Si nasikia mmiliki wa brajac leo ana sherehe ya ubarikio wa wanae hapo? Au sioleo?
 
Last edited by a moderator:
wa
jamani Bishanga basi akaribu hapa brajec uje upate japo ka whisk, nitakuwa na cacico na mwana jf yeyote anayetaka aje atujoin vichwa vimechoka jaman tupumzikepo.

haya ya kwangu ni lugha tu za kumtoa nyoka pangoni, gia ya kuombea mchezo kwa hubby hiyo................so na assume am calling ma hubby.
Waniuaua kipenzi waniuaua
Tungo zako za mahaba zaniuaua....
Source: bendi nimesahau
 
Last edited by a moderator:
sijui mnake miye ni mtu wa kwenda kunywa na kuondoka siyo wa kuuliziaga ya watu so siye twkutana saa mbili and kama patakuwa pana sherehe tutahamia maeneo mengine kama nyumbani lounge.
 
Oroza yako yote ni wakopaji wote. nenda utakuja kusema mwenyewe hapa hapa.
 
na mi nakuhamuje my shem wa ukweeeee, wenye wivu wafanyeje?? hebu malizia basi! kha! hivi my dada yupo wapi?? namhamujeeee mimi lol!

Shemeji cacico.....yaani! watajinyonga kwa kamasi kwen mti wa mchicha! chezeya wivu! LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom