Natafuta wa kwenda nae saba saba

Natafuta wa kwenda nae saba saba

Mimi hapa Catherine. Nitakujoin, mimi tu. Hao wengine potezea
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niandae vitendea kazi maana famasi siku hizi vimekuwa adimu.
Tukutane basi serena hiyo kesho around 10am,utaniona naingiana li cadillac langu.
 
me utankuta banda la jf, nimevaa kaniki ina chata jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf

kuzunguka kaniki yoooooote
 
halafu wewe umeanza mashauzi yako ya kihaya. Bishanga utagharamia usafiri eeh? Nasikia una yard ya magari tajiri la kihaya.
 
Billion Tshs question:
Catherine, Kwa mfano nikiitikia wito wako tukaenda wewe na mimi, gharama za juice mapochopocho, Menyu na mazawadizawadi mengineyo zinaangukipo kwa nani?
Jibu puliiiz!
 
teh teh! Baby wako kaizer sijui ana ajenda gani hata wewe anataka tukupotezee

najua saa hizi huyu Kaizer kachacha na siku hizi hata wapziba pancha wamegoma so hana kazi na anahaha tu
 
Last edited by a moderator:
me utankuta banda la jf, nimevaa kaniki ina chata jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf

kuzunguka kaniki yoooooote

charminglady mpenzi, hilo banda lipo kwa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Billion Tshs question:
Catherine, Kwa mfano nikiitikia wito wako tukaenda wewe na mimi, gharama za juice mapochopocho, Menyu na mazawadizawadi mengineyo zinaangukipo kwa nani?
Jibu puliiiz!

PakaJimmy tutashare costs. Tukitoka huko kila mtu awe amefurahi na sio kutiana hasara.
 
Last edited by a moderator:
halafu wewe umeanza mashauzi yako ya kihaya. Bishanga utagharamia usafiri eeh? Nasikia una yard ya magari tajiri la kihaya.

Ujue saba saba mizunguko inachosha,una mpango gani tukitoka huko?
 
najua saa hizi huyu Kaizer kachacha na siku hizi hata wapziba pancha wamegoma so hana kazi na anahaha tu

teh teh teh! Mi hapo sitii neno kisije kikaumana mazima.
 
Last edited by a moderator:
Ujue saba saba mizunguko inachosha,una mpango gani tukitoka huko?

tutakaa sehemu tupate vinywaji na story mbili tatu, ndio maana napenda tuwe wengi wengi ili tusipooze.
 
hebu nipm tujuzane muda, ebo! dadaang wa moyoni mzima weye?? twende kesho tumsindikize Catherine 77, labda babu ODM tamkagua hukohuko, lolest!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom