Natafuta wa kwenda nae saba saba

Natafuta wa kwenda nae saba saba

hebu nipm tujuzane muda, ebo! dadaang wa moyoni mzima weye?? twende kesho tumsindikize Catherine 77, labda babu ODM tamkagua hukohuko, lolest!

pm ndio nini cacico? Mara ya pili hii nakusoma waandika the same thing. Muda tujadilini kwa pamoja.
 
Last edited by a moderator:
pm ndio nini cacico? Mara ya pili hii nakusoma waandika the same thing. Muda tujadilini kwa pamoja.
Erickb52, kama dada yako, naomba umPM huyu binti apatepo maana ya PM lol!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52, kama dada yako, naomba umPM huyu binti apatepo maana ya PM lol!

isijekuwa pm ndio ukaguzi wenyewe cacico (ukaguzi nilishaukataa). Naomba kirefu cha pm labda nitaelewa, halafu wapi handsome boy wako Asprin?
 
Last edited by a moderator:
me utankuta banda la jf, nimevaa kaniki ina chata jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf
jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf jf

kuzunguka kaniki yoooooote

Mtu, unaipandaje Jf !
Yaani hadi box la kitasa lina chata ya Jf ?
Hivi maji ya bendera ya Jf namie ntayapata wapi ? Nikunywe!
 
Mtu, unaipandaje Jf !
Yaani hadi box la kitasa lina chata ya Jf ?
Hivi maji ya bendera ya Jf namie ntayapata wapi ? Nikunywe!

judgement mambo? Upo na time kesho twende saba 7?
 
isijekuwa pm ndio ukaguzi wenyewe cacico (ukaguzi nilishaukataa). Naomba kirefu cha pm labda nitaelewa, halafu wapi handsome boy wako Asprin?
anapata mahala supu ya ngisi na nyagi, tayari tayari kwa weekend na ukaguzi, Asprin upatapo huu ujumbe my sugar, fanya hima mjukuu anakuuliziaje sasa???
 
afu pale juu cacico shemeji kwa nini umegonga like post ya beibe gfsonwin? Shemeji hujuipo diversity, I mean genetical diversity? LOL

nimekuhamuje sasa.
na mi nakuhamuje my shem wa ukweeeee, wenye wivu wafanyeje?? hebu malizia basi! kha! hivi my dada yupo wapi?? namhamujeeee mimi lol!
 
Mtu, unaipandaje Jf !
Yaani hadi box la kitasa lina chata ya Jf ?
Hivi maji ya bendera ya Jf namie ntayapata wapi ? Nikunywe!

halooo! unataka maji ya liflag la jf. . . hebu nipm ulipo, but usishangae impact yake! jg
 
hiyo fensi ni ya umeme kabisaaaaaa! chezeiya mtu na parcel yake weye??

mtu chake cacico siyo unashinda kumfunza mtu ma vibration halafu akitoka anakwenda practice kwingine lolest. chunga mzigo bibie
 
Last edited by a moderator:
orait baibe nakuja na wine ya kusindikiziapo lunch, sawa swtlo? ila kesho 77 muhimu.

kumbe unanidhamu eeh! unajua swtlo mwenziooo miyeeh mmmh ahhh mmmmh ........ntakwambia chumbani
 
Back
Top Bottom