Natafuta wa ku-do nae tu, no other obligations

Natafuta wa ku-do nae tu, no other obligations

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,972
Reaction score
30,154
Wadau,
Nina hamu ya ku-do na msichama wa hapa JF, sitaki tuwe na mahusiano ya kiuchumba, wala sio kwa ajili ya kuuziana (Raha tunapata wote).

Nataka wa kusex nae tu pale ninapojiskia, nae akijiskia pia anaweza kunistua tukasahaulishana ugumu wa maisha kwa kufurahisha nafsi zetu. Napatikana muda wote, hata usiku.

Masharti ya nimtafutae,
- Umri usizidi miaka 30,
- Awe na mvuto,
- Nyuma kajazia Kidogo
- Anayajua vilivyo ya 6x6
- Haboi kua nae,
- Sio Changu.

Ni hayo tu jaman!!
 
Naona maadili yanazidi kupungua.
 
me vigezo vyote ninavyo unakaribishwa haaaaaa
 
Ye si ndo kahitaji mautamu? Ningeanza mie ningegharamia kila kitu kuanzia hotel, vinywaji ,vyakula, usafiri dume nk...
kama kuchafuka si mtachafuka wote kila moja ajighalimie
 
Mie vigezo sina ngoja wenye nazo waje hapa kwaheriiiiiii.
 
Yupo mmoja humu JF ndio kazi yake kutoka na watu kama wewe,hana noma maana ana mkwanja wa kutosha na ana virus vinavyosababisha upungufu wa kinga mwilini,nadhani atakusaidia sana tatizo lako.
 
Mie nko tayari ila hata hela ya detto hutoi?

Mimi naosheaga sabuni nayoikuta kwa hotel, wewe unaetaka matumizi ya detto ndio ununue uje nayo!!
 
tumefikia hapa kutokana na udhaifu wa ..................! (john mnyika - ubungo mbunge!)
 
Back
Top Bottom