Natafuta rafiki wa kuongea nae kiingereza tu

EngneerJ

New Member
Joined
Aug 31, 2025
Posts
3
Reaction score
6
Natafu rafiki ambaye tutakua tunaongea kiingereza tu, ni kwajili ya kupractice english speaking , mimi nafanya kazi za uhandisi electronics hardware na sofware. im a man. karibu PM kwa mawasiliano zaidi
 
Pm me please, we're together
 
Ushauri..! Badala ya kumualika kila mtu DM kwa nini usitengeneze Telegram group alafu invite watu kisha pratice ukiwa kule

Advantage yake unaweza kuweka group call mkawa manongea mada tofauti tofauti kwa mda maalum mfano kuanzia saa moja atayekuwa online unaongea nae bila ku leak real identiy ya mtu kama huku kwenye jukwaa

Watu wengine hawapendi kujulikana
 
Jiunge na apps za Tandem na Speaky utakutana na native speakers watakusaidia sana kuimprove kingereza chako lakini pia utapata marafiki wa mbele
 
Ushauri..! Badala ya kumualika kila mtu DM kwa nini usitengeneze Telegram group alafu invite watu kisha pratice ukiwa kule

Advantage yake unaweza kuweka group call mkawa manongea mada tofauti tofauti kwa mda maalum mfano kuanzia saa moja atayekuwa online unaongea nae bila ku leak real identiy ya mtu kama huku kwenye jukwaa

Watu wengine hawapendi kujulikana
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom