Natafuta rafiki wa kiume company tu

Sal

JF-Expert Member
Jan 14, 2008
498
228
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
 
Sal naona umenilenga mie, kwa kuanzia hebu nikupitie sasa hivi tukakae pembeni tuongee zaidi.
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.

yani hapa nmetoka kuota kunamtu anantafta jf kumbe ni wewe... ayah bidada emh twende kwa pm
 
Masharti hayo lol!
Huyo mtu utaKUWA umemnunua, na si kampani ya hiari!
Unategemeaje mtu awe na mke, na kisha muda wote awe available kwako?
Sema unaongea kwa reverse kuwa unahitaji buzi!...huh!
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.

Mhhhh! It sounds like a friend with benefits....Good luck and all the best.
 
Pj, mbona kuna MBA (married but available). Kuna wanaume wameoa na wana watoto lakini kila siku wako bar hadi saa saba usiku! Atapata bana ila anahitaji mechanism ya kuacha nanilii home.
Kuhusu kipato, nadhani amefanya sahihi kusema manake kama kijana akiwa apeche sana watakuwa wanashindwa kushare bills.
Masharti hayo lol!
Huyo mtu utaKUWA umemnunua, na si kampani ya hiari!
Unategemeaje mtu awe na mke, na kisha muda wote awe available kwako?
Sema unaongea kwa reverse kuwa unahitaji buzi!...huh!
 
nani anataka kujiumiza roho. Uanze kutoa denda kwa vibwana vyako mbele yangu eti kisa mi ni rafiki tu? nani atakubali kuwa bushoke eti kwa kuwa wewe msichana?. mara visimu,msg. wenye tabia kama hizi wengi wapo dar. kama vipi uje na bwana wako na mimi girl wangu. tumeshinda wote, usiku tunaenda club mara unaanza kucheza na mtu mwingine eti bwana ako, kwanini usishinde naye huyo huyo. Huo urafiki wa kipumbavu sifanyi. labda uwe urafiki wa kwenda wote kanisani. mimi sitaki labda mtafute SAINT IVUGA au KATAVI.
 
We utakua na nia ya kua narafiki shoga amna lolote,utampata wapi mwanaume lijali kwa condition zako hzo?atakae ku pm 2 jua huyo ni mcameron.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom