Natafuta rafiki wa kiume company tu

Ningefurahi kama nafasi hiyo ningeipata mimi. Sifa zangu:
  1. Mimi ni mmachinga, bia kulipa mwisho 3
  2. Nina mchumba na mtoto mmoja
  3. Umri wangu ni zaidi ya miaka 35
  4. Kutokana na kazi zangu nimejazia kimazoezi
  5. Ninatumia pikipiki motokari sina.
Je naweza kufikiriwa au sisi maskini hatuna haki ya kuwa na marafiki warembo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom