Natafuta rafiki wa kiume company tu

hizo ni fikra zako, hazina ukweli.

Its possible mume/mchumba wako yuko mbali mfano nje ya nchi kimasomo au kikazi. Hii inakufanya uwe mpweke na hutaki kuvunja kiapo. Sasa basi, kumbuka huyo wa ukweli akijua hapatakalika. Chagua moja kunyoa au kusuka.
 
wako wanaoshinda hadi kutaka kulala kwenye mabar, wameoa na familia zao, yote hiyo kukosa sehemu maalum ya kwenda sababu ya ndoa ndoano. kuliko ushinde bar, mfano rose garden pale, ukiuza sura na kusengenya watu, si bora uje kwenye company yangu, tupeane mawazo ya maisha. sio ndoa zote zenye faraja hadi muweze kupanga future, sababu kila mmoja yuko juu. Ukinieleza yanayokusibu na mimi nikakueleza ya kwangu, huoni kama tunaweza kupata muafaka.

Masharti hayo lol!
Huyo mtu utaKUWA umemnunua, na si kampani ya hiari!
Unategemeaje mtu awe na mke, na kisha muda wote awe available kwako?
Sema unaongea kwa reverse kuwa unahitaji buzi!...huh!
 
tukitoka, unaruhusiwa kuja na darling wako kama si mke wako. japo mie nitakuheshimu, i'll be alone always.

nani anataka kujiumiza roho. Uanze kutoa denda kwa vibwana vyako mbele yangu eti kisa mi ni rafiki tu? nani atakubali kuwa bushoke eti kwa kuwa wewe msichana?. mara visimu,msg. wenye tabia kama hizi wengi wapo dar. kama vipi uje na bwana wako na mimi girl wangu. tumeshinda wote, usiku tunaenda club mara unaanza kucheza na mtu mwingine eti bwana ako, kwanini usishinde naye huyo huyo. Huo urafiki wa kipumbavu sifanyi. labda uwe urafiki wa kwenda wote kanisani. mimi sitaki labda mtafute SAINT IVUGA au KATAVI.
 
tukitoka, unaruhusiwa kuja na darling wako kama si mke wako. japo mie nitakuheshimu, i'll be alone always.

kama ndivyo basi nipm tujuane zaidi. mambo ya jigjig tutajuana mbele kwa mbele. lakini kama hauishi dar sihitaji pm yako. Mi nataka wa hapa hapa tena aliye free. Anaye penda kwenda club hadi majogoo sio saa saba tu eti naskia usingizi. hakikisha una figga zuri sio twende kunichoresha bill's. kama vipi nipm.
 
Kiukweli mahusiano huanzia huko huko unakosema ni Co. tu. Mimi nadhani kila kitu kinajieleza kwa mafisi maji kujua nini unataka mama. Naamini utapata kabisa unachokitaka japokuwa utafiti unaonyesha kama umejiwekea vigezo vya kumpata rafiki ukifikisha 25% ya vyote una bahati, so expect PM zenye mapungufu ya vigezo vyako.

Kitaalamu vigezo vyako kama ni marks basi ni 100% sasa hebu fikiria inawezekana mtu kuscore 100% ?
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.

hata mimi Natafuta rafiki wa kike, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila ikibidi hata jigjig iwepo. rafiki wa ukweli kama wa kiume vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- kama akiwa hana mme poa tu maana naweza pia ku cover hiyo nafasi
- umri chini ya 25 isiendelee zaidi ya hapo.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa hana motokari pia itakua poa zaidi, itabidi ahamie karibu na nyumbani kwetu ili nauli ya daladala isiwe nyingi.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "baba imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu nataka kabinti kadogo kadogo hivi.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.au nibib kwenye namba hii hapa nokia 6230
 
Kusadiana ni aina nyingi, hata kwa mawazo ni msaada wa kutosha. umekwama au nimekwama financially, being good friends, kwanini tusisaidiane.
Asante kwa ufafanuzi. sasa kwa kuwa umetueleza sifa za unayemtaka kuwa rafiki, unaonaje kama utatudiokeza na sifa zako wewe, ili nifikie uamuzi wa iwapo niku-PM au la
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
Wee lazima utakuwa mchaga,sasa motokari inahusu nini,hapo baadae utaedit na kuandika ng'ombe wa maziwa,kabati ya mbeho na blanketiii!!!
 
Yaani unazungukaa kumbe unataka sd,huwezi kumpata mwanaume unayemtaka bila ku do.

Jaribu kuongea na dada flani huku aliyekuwa analalamika kuwa alipata rafiki huku kumbe fataki,nafikiri huyo atakufaa zaidi.
 
Hujaweka wazi,ummeandika kwa kuficha ficha ila ki ukweli ni kwamba unatafuta FUK MATE ila no strings attached..Mi naogopa leo tutatumia zana alafu baada ya wiki3 tukizoeana tutaenda kavu..NAOGOPA UKIMWI.Kwaheri
 
kama ana uwezo wa bajaj kama si taxi poa. most important tusisumbuane kupeana lift kila wakati.

Kama ni rafiki wako wa karibu ndo unataka awe,musaidiane kwenye shida nakadhalika,sasa kuna ubaya gani ukimsaidia akiwa hana lifti au gari ya nyinyi kukutana unapotaka,kama nikusaidiana inaabidi uwe ready pia kumsaidia lifti kama we unavyotaka kusaidiwa ukiwa na shida.Basi na yeye atasema ni usumbufu kukusaidia wewe unapo na shida,coz shida zako ni zako sio zake,kama wewe ulivyotamka usingependa kusumbuliwa na shida zake za lifti.Sijaona mantiki yako upande huo
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.

mbona unatutenga wenye Umri wa miaka 25, 26, 27?? me nipo tayari kuwa friend wako na napenda sana kuwa na friends kama wewe!! accept me please!! na chat kwa 0713 64 44 85
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom