Natafuta rafiki wa kiume company tu

Sifa za umtakae ushazitaja,
Zako je?
Binafsi nina miaka 31 so najitoa!!!
 
Humu sikuwezi nalikuwa napita tu qa bahati mbaya baada ya kupotea njia. Eneo hili full mizaha,full kufikirika hakuna uhalisia. Jamani nionesheni njia ya kutokea qani nalipotea.

Bazazi ni Bazazi
 
Kwan lazima nitake usafr wako km cna gari. Naweza kuwa cna gari ila nna ela tax. We wataka bwana tu
 
nani anasema wanawake hawajui aina ya mwanaume anayemtaka

hata kutongoza hawajambo siku hizi
 
akuhudumie yy afu afaidi mwingine hii kairudie kuedit au umecopy na kupesti
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k. sifa za huyu friend. - awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana - awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town. - hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend - umri from 35 kuendelea. - pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae. - akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana. - awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile" msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu. Kama uko interested, ni PM tafadhali.
Watu wazima tumeshaelewa nini hasa unachokitaka!!Hebu weka kidogo basi sifa zako japo kwa ufupi tuthaminishe mzigo!!
 
Uko sahahi mwanajeshi, hapo umenena

Pj, mbona kuna MBA (married but available). Kuna wanaume wameoa na wana watoto lakini kila siku wako bar hadi saa saba usiku! Atapata bana ila anahitaji mechanism ya kuacha nanilii home.
Kuhusu kipato, nadhani amefanya sahihi kusema manake kama kijana akiwa apeche sana watakuwa wanashindwa kushare bills.
 
Its possible mume/mchumba wako yuko mbali mfano nje ya nchi kimasomo au kikazi. Hii inakufanya uwe mpweke na hutaki kuvunja kiapo. Sasa basi, kumbuka huyo wa ukweli akijua hapatakalika. Chagua moja kunyoa au kusuka.
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
kama anavigezo hivyo hapo lazima afungue kitabu asome na si kukitazama tu.all the best
 
kabla sijaku-PM (maana nina sifa karibu zote ulizoainisha) naomba ufafanuzi hapo kwenye highlight
 
kama ana uwezo wa bajaj kama si taxi poa. most important tusisumbuane kupeana lift kila wakati.

Kwan lazima nitake usafr wako km cna gari. Naweza kuwa cna gari ila nna ela tax. We wataka bwana tu
 
Kusadiana ni aina nyingi, hata kwa mawazo ni msaada wa kutosha. umekwama au nimekwama financially, being good friends, kwanini tusisaidiane.

kabla sijaku-PM (maana nina sifa karibu zote ulizoainisha) naomba ufafanuzi hapo kwenye highlight
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom