Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Nimerudi kuitunza familia...nashanga mpaka sasa hamna aliyenisaidia!!!Jomba ulikuwa bize na Kinana kumbe umetelekeza familia, imekula kwako
Nimerudi kuitunza familia...nashanga mpaka sasa hamna aliyenisaidia!!!Jomba ulikuwa bize na Kinana kumbe umetelekeza familia, imekula kwako
kumbe mume wa mtu !ndo maana nimeona nikushirikishe ..yaaani kidogo tu ningemkubali ndo nilikuwa naandika pm yake hapa
Usiogope mkuu, nikishachonga tu, kitu kinakua ngoma kwa mluzi!
basi itume kwangu mwenyewe
muite mkeo aje anikabidhi mwenyewe
Nashangaa siku zote bado mpaka leo hamna aliyechukua nafasi yangu....kweli mimi ni irreplaceable!!!
Smile naamin sasa hakuna pingamizi lawewe kuniita mme.Baba V katuachia wenyewe tuamue
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nashangaa siku zote bado mpaka leo hamna aliyechukua nafasi yangu....kweli mimi ni irreplaceable!!!
Kubalianeni huko mie mtaniletea mrejesho ili niwaidhinishe...