Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao
nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V
naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae
naumia sana ninapoona couple za wenzangu hapa cc zinashamiri
ila naomba usinipe mume wa mtu au mpenzi wa mtu ,mi vitu used sitaki.
naahidi mbele yake na jamii yote hii ya cc huyo mtu utakaenipa nitampenda,nitamuheshimu .nitamtiii na kumvumilia kwa hali zote katika maisha yetu yote hapa jamvini
NAWASILISHA
WENU MTIIFU
SMILE

Nimekuandikia meseji, nasubiri majibu.
 
kwa niaba ya Baba V nikiwa mwenyekiti wa kamati ya sheria ningependa kutoa baraka kwa Baraka Romani na Smile.

Onyo kwa sosoliso usisogolee ndoa za watu

Nikiwa righthand wako, Loya nikwambie mkisafiri basi muwe mnawaarifu wenziwenu manifest za safari. Unajua umetupa extraordinary works mimi na my wife kumpliz wife wako kufatia ombwe lako.
 
Last edited by a moderator:
Smile njoo basi uweke basi msimamo wako wazi.
 
Last edited by a moderator:
Hajapata tu. ukipata ulete jina kwanza kwakuwa jamvi karibia limeenea.
 
Back
Top Bottom