Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao
nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V
naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae
naumia sana ninapoona couple za wenzangu hapa cc zinashamiri
ila naomba usinipe mume wa mtu au mpenzi wa mtu ,mi vitu used sitaki.
naahidi mbele yake na jamii yote hii ya cc huyo mtu utakaenipa nitampenda,nitamuheshimu .nitamtiii na kumvumilia kwa hali zote katika maisha yetu yote hapa jamvini
NAWASILISHA
WENU MTIIFU
SMILE
 
Last edited by a moderator:
Baba V kwa muda mrefu kijana wako nilikuwa nakulilia sijapata Mwenza naamin sasa kilio changu kimefikia ukingoni.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ngoja mkuu aje atoe tamko !
 
Baba v njo unikabidh mke huku

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Baba v njo unikabidh mke huku

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
sijui yupo wapi?yaaani nitakucare yaani couple yetu itakuwa ya mfano hapa! ngoja tusubirie tamko la mwenyekiti
 
Hakika watu watajifunza meng kutoka kwetu...hakika tutakuwa mfano wa kuigwa dunian na safar yetu haitaishia hapa tu bal ntaakikisha tunaufikia wote uzima wa milele

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ahaaaaaa
hii ya kwako hiii ile tu peke yako maana ni mbaya

Vibaya vina mwiba tena ule wa kukaba koo!....Kizuri akiishi hamu halafu hii imechanjiwa asali
 
mi sitaki used bwana nataka brand new automatic
Vibaya vina mwiba tena ule wa kukaba koo!....Kizuri akiishi hamu halafu hii imechanjiwa asali
 
Hakika watu watajifunza meng kutoka kwetu...hakika tutakuwa mfano wa kuigwa dunian na safar yetu haitaishia hapa tu bal ntaakikisha tunaufikia wote uzima wa milele

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
eheheee umeona eee
 
Back
Top Bottom