Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Nawasilisha pingamiz...Smile katoa tamko kwa kushinikizwa na akiwa hana akil timamu..Naomba Kabanga achunguzwe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao
nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V
naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae
naumia sana ninapoona couple za wenzangu hapa cc zinashamiri
ila naomba usinipe mume wa mtu au mpenzi wa mtu ,mi vitu used sitaki.
naahidi mbele yake na jamii yote hii ya cc huyo mtu utakaenipa nitampenda,nitamuheshimu .nitamtiii na kumvumilia kwa hali zote katika maisha yetu yote hapa jamvini
NAWASILISHA
WENU MTIIFU
SMILE

Hallow! pole sana, ulishapata mwenza?
 
Back
Top Bottom