ngoja mkuu aje atoe tamko !
ehehee bora umekuja chair wetu mimi sijui tabia zao hapa kijijini nisijechagua bomu likaja kunilipukia mie ...mimi nichagulie yoyote nachukuaKufaa ama kutokufaa kwake kutategemea zaidi perception yako wewe. BTW mkikubaliana njooni kwangu niwape GO AHEAD
mmmh kweli?
Baba v njo unikabidh mke huku
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kufaa ama kutokufaa kwake kutategemea zaidi perception yako wewe. BTW mkikubaliana njooni kwangu niwape GO AHEAD
Faza mambo vipi? umeniona?
Nimekuona unavyomwaga sera sijui hata umejifunza lini,komaa na mtoto huyo