Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

Hakika watu watajifunza meng kutoka kwetu...hakika tutakuwa mfano wa kuigwa dunian na safar yetu haitaishia hapa tu bal ntaakikisha tunaufikia wote uzima wa milele

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Baraka, umegeuka kasisi sasa?
 
Kirahisi kabisa mtu anachukua mzigo Baba V angalia m-pesa
 
Last edited by a moderator:
Brand new wanasumbua kwakua bado hawajamaliza starehe....used ndio mpango mzima! Tunajua kubembeleza kwenye kila idara! Sisi slogan yetu ni njoo ujionee tofauti!
 
Smile maumivu ya kichwa huanza taratibu hebu tafut kwanza panadol unywe halafu urudi na hili wazo lako hapa
 
Last edited by a moderator:
Smile maumivu ya kichwa huanza taratibu hebu tafut kwanza panadol unywe halafu urudi na hili wazo lako hapa
nimeamua kweli kwa roho safi..nyie nipeni tu kijana tuingie kazini
 
Ni muda mrefu toka nilivoachwa na Rejao
nakuja kwa mwenyekiti wa ndoa wa chitchat Baba V
naomba kwenye familia yako unitafutie kijana mmoja mzuri ili niweze kuwa nae
naumia sana ninapoona couple za wenzangu hapa cc zinashamiri
ila naomba usinipe mume wa mtu au mpenzi wa mtu ,mi vitu used sitaki.
naahidi mbele yake na jamii yote hii ya cc huyo mtu utakaenipa nitampenda,nitamuheshimu .nitamtiii na kumvumilia kwa hali zote katika maisha yetu yote hapa jamvini
NAWASILISHA
WENU MTIIFU
SMILE

usije kuingia mikono isiyo salama bibie, njoo huku upunguze machungu ya kuachwa, njoo upate raha na utamu wa ndoa... njoo mama utalelewa vyema! karibu kwangu
 
Back
Top Bottom