Natafuta partner wa chit chat!barua kwa baba v

mnanichanganya sasa nashindwa kuchagua
 
Mwee...!!
Copy😡queen kan
kumbe mume wa mtu !ndo maana nimeona nikushirikishe ..yaaani kidogo tu ningemkubali ndo nilikuwa naandika pm yake hapa
 
Kuwa makini kwani vigezo na masharti kuzingatiwa...
 
mbona siku nyingi toka mwaka juzi

Smile !
You make me happy kwa yakini!
Pale ulipoutia mkazo ukimpata UTAMPENDA hivyo MTAPENDANA! UTAMUHESHIMU ndy kusema MTAHESHIMIANA! UTAMVUMILIA hivyo MTAVUMILIANA
Kisha UTAMTII ndiyo kusema MTAT.... (hapa utamalizia mwenyewe)
Afu wadai hutaki uke wa ubia, sasa kule kwa Rejao hukua ukewenza na CANta?
 
Last edited by a moderator:

ahaaaa wewe mpuuzi wewe? ndo kusemaje hapo?? nimecheka kweli aisee hufai wewe ujue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom