Mtoto alikua na kikohozi kikali wakampima wakasema ana Tuberculosis na wakaanza kumchoma sindano na dawa za Tb alipewa,within three days alikua haonyeshi dalili za kupona wakarudi tena kwenye vipimo kumbe ilikua kichomi,. Hali ya mtoto ilikua sio nzuri wakasema sababu ni over-dorsage,. Mtoto amefariki wakati wakiwa wanashughulikia suala la kumuoverdose before aanze treatment za kichomi.
She was only 2yrs,. How comes madaktari wanashindwa kusoma majibu ya vipimo au shida huwa ni vifaa tiba au kitu gani