Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,943
- 8,166
- Thread starter
- #81
Bro upo sahihi sana Mimi ki hadi sasa nina mtoto mmoja ambae nilimpata nikiwa form 2 kipindi hicho nasoma na kwa sasa nimeamua kupata mtoto mwingine na nimetaja sifa hizo ili mtoto awe mzuri kama mwenzake wa kwanza,,, kifupi kila mtu na machaguo yakeNyie wotee niliowa ""Quote"" punguzeni hasira na maisha ya mtu.
Mimi binafsi raisi wa kataa ndoa nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 25
Na nimepata watoto wa mwisho (mapacha) nikiwa na miaka 34
Na sasa ni baba wa watoto wa 4 sina sina habari ya ndoa na sitaki ndoa.
Iko hivi ....
Kila mtu ma staili yake ya maisha na usilete dharau na matusi kwa life style ya mtu kisa hajafata life style yako
#YNWA
#YANGA_BINGWA