Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
unakimbilia nini kwenye ndoa kwa umri uo?Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano
Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
miaka 24-35 kula life kwanza mabinti wapo tu.
ishi mwenyewe kwanza ukipata nyege mshindo kamata visunguratope apo kitaa maisha yanasonga
au unataka uanze kupangiwa muda wa kurudi nyumbani?