Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

kijana tafuta mke mzuri, mpole, anajua mapenzi, anajali, anajua kupika, anajua kufua, anajielewa owa weka ndani achana na hii biashara ni ya umalaya je unataka kuwa malaya ?
 
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto


Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3 years nitatoa hela shillingi milioni tano cash
Sihitaji ndoa wala mahusiano

Kama una vigezo njoo pm au mshirikishe rafiki yako/dada yako
Mi nakushauri ungeenda maabara tu ukaumbe wakwako
 
kwa mwezi nikisuasua sana nakuwa na 50-80M kwa benki.
FB_IMG_17368039813588258.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom