Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,506
- 5,542
Habari,
Kama mada inavojieleza niko Mbioni kufungua chuo cha Udereva kwa ajili ya Mteja wangu mmoja na ninahitaji Mwalimu Mzuri wa udereva ambaye anatakiwa akidhi vigezo vifuatavyo:
Asanteni na karibuni sana
Kama mada inavojieleza niko Mbioni kufungua chuo cha Udereva kwa ajili ya Mteja wangu mmoja na ninahitaji Mwalimu Mzuri wa udereva ambaye anatakiwa akidhi vigezo vifuatavyo:
- Awe na notes za electroniki za full course
- Awe anajua kutumia PC na Projector
- Awe tayari kujifunza zaidi
- Awe tayari kusafiri
Asanteni na karibuni sana