Natafuta mume

Natafuta mume

Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.

Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.

Asanteni

Ahahaha.

Mambo ni mengi bado

hebu uambie umma wa wana JF Upo mkoa gani kwanza....
 
Hapo itakua kamegombana na bwanake kanatafuta faraja huku.

Jamaa akirudisha majeshi mwenzangu na mimi unapigwa chini.

Sijawahi kuwaamini wadada wenye miili midogo hasa ma fundi cherehani wanaovaa ushungi wao wanaita kujistiri. 😄
 
Nimejaribu ku imagine mwili wako kwa hizo kg, hakika nitakumudu kukubeba panapo mizagamuano.
 
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.

Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.

Asanteni
Ni pm insha allah kama kweli una nia ya nusra
 
Anaambiwa "Ma mtu nifosie mazingira" 😂😂😂😂
Yaani kiswahili chenu kinanishinda kweli, sasa hapo unaelewa nini...kijana anakuja, "ooh faza mi sielewi, nifosie mazingira basi". Sisi wazee tunapata shida sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom