Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,130
- 6,047
ππ na vichwa viwili kabisaIla JF kwahiyo una mzuzu kamanda πππ
ππ na vichwa viwili kabisaIla JF kwahiyo una mzuzu kamanda πππ
We unavyopenda kuletew popcorn uwe katika sisi nakataa milele πππππππ na vichwa viwili kabisa
Huyu ni wa kwetu tu kaka, tutaenda hata kwa bro mshana atuelekeze nini cha kufanya π πWe unavyopenda kuletew popcorn uwe katika sisi nakataa milele πππππ
Shauri yako jichanganye tu π€£π€£π€£We unavyopenda kuletew popcorn uwe katika sisi nakataa milele πππππ
Tukimpeleka kwa mshana huyu anaweza akapagawa sana mpaka akaandika Uzi wa kutaja wasifu wake πππHuyu ni wa kwetu tu kaka, tutaenda hata kwa bro mshana atuelekeze nini cha kufanya π π
πππIla unazingua sana hivi kichwa chako Cha pili kipo wapi madam maana mazingaombwe haya πππShauri yako jichanganye tu π€£π€£π€£
Mchawi dini
Mbona mambo yanaeleweka tu MkuuπππIla unazingua sana hivi kichwa chako Cha pili kipo wapi madam maana mazingaombwe haya πππ
Silim tu mkuu, kanzu tsh elf 10.....chukua jiko tunywe chai na kalmati bajeti ya ndoa haifiki mil 13Mchawi dini
Tulikusahau kaka, ila dirisha la usajiri halijafungwa tuma maombi tu, sisi tulishatuma yetuπ π
Hujasema unatafuta mke Ulisema unataka marafikiπ€
Dah ila leo umeamua kutuokota, kwamb we ni jitu la mirab minne lenye ndevu π π haya bwanaMbona mambo yanaeleweka tu Mkuu
Haha ila unaonaje hili deal ni deal done au nitafute tu rafiki, maana naona anatafuta maustadh tu.Tulikusahau kaka, ila dirisha la usajiri halijafungwa tuma maombi tu, sisi tulishatuma yetu
πππ kwambaDah ila leo umeamua kutuokota, kwamb we ni jitu la mirab minne lenye ndevu π π haya bwana
Silimu ujichukulie ustadhati πHaha ila unaonaje hili deal ni deal done au nitafute tu rafiki, maana naona anatafuta maustadh tu.