natafuta mume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Vigezo vya mwenza ninayemtafuta: Awe na watoto wasiozidi wawili. Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45. Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle). Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume asizidi miaka 40

    Mimi ni mama wa miaka 23 Niko Dodoma Kazi mtumishi Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume. Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hello Mwenzenu upweke utaniuaNatafuta mwanaume ambae tutenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -37yrs Mtoto mmoja Mjasiliamali Mkristo- KKKT Sifa za mume: Umri 37yrs na kuendelea Mkristo Mwenye hofu ya Mungu Mwenye upendo wa dhati Mwenye kipato cha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke miaka 40’s, nahitaji mume

    Niwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge. Awe tayari kupima HIV.... Awe na akili Timamu..... Awe anayejua nafasi yake kama mume..... Wajukuu na walembwe uzi huu hauwahusu.... Nawasilisha🙏
Back
Top Bottom