Wewe unajuwa Tofauti kati ya Uchawi na Ushirikina? Hebu nipe majibu yangu.Hao uliowapa special thanks wanafundisha ushirikina sio uchawi.Ushirikina unaweza kuujua hata kupitia internet uchawi huwezi kujua kupitia internet hata siku moja.
Wakuu,
Kama kuna mtu amelogwa au anaweza kuniloga atoe fact hapa.
Mzizimkavu mkavu Asprin Bujibuji Nyani Ngabu faiza foxa Fox Yericko Nyerere
Nenda Zanzibar uliza adui chongo halafu mwambie akuroge au nenda Pemba kuna sehemu inaitwa giningi uliza utapelekwa kalale utaona
Tunajua kuwa uhalisia wa thread yako ni kuwa wewe ni mganga wa kienyeji uliyejidhatiti dhidi ya kirogwa na waganga wenzio sasa hapa unafuta kuhakiki ukali wa dawa ulizojiwekea ili kujua ikiwa zinafanya kazi au la
Hilo la watoto naomba mliache kwa sasa. Siko kuelezea maisha yangu binafsi naulizia uchawi. Kuna member wanaonijua uhalisia wangu na hao watoto kwa mfano Bujibuji na @aspirin. Nikielezea nilivyopata hawa watoto itakuwa thread maisha yangu ni muujiza tosha kaka.
me kuna siku nilikuwa kijiweni na wazee alafu nikaropoka me sirogeki! wale wazee wakaniuliza unasemaje kijana! nikajibu hapana natania tu!