Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
NGULI Mkuu waziri mtarajiwa MziziMkavu, huyu jamaa anataka kuwa ndege au nyoka (anataka kurogwa), utamsaidiaje ili apotee duniani kwani kachoka na maisha ya kuongozwa na CCM.
Last edited by a moderator: