Natafuta mtu wa Kuniloga.

Usikute hapo ulipo usharogwa
 

Attachments

  • 1391358474616.jpg
    1391358474616.jpg
    38.1 KB · Views: 275
Kwenda maeneo husika haina maana kwamba utarogwa,ukitaka kurogwa inabidi umuudhi mtu anayesifika kwa uchawi.
 
NGULI Kwani hapa wewe shida yako si unataka kufa? Kunywa sumu iliuokoehuo muda wa k unaodhaniwana uwezo wa kukuua!
 
Last edited by a moderator:
NGULI bwana, kama unataka tafiti si uende hapo UD ukaulizie Doctoral dissertation ya Dr. Mesaki aliyekuwa anafundisha Sociology? He did his PhD on that topic kama nakumbuka vizuri. But kumbuka maandiko yanasema Umekamatwa kwa maneno ya kinywa (hapa sijui itakuwa vidole) chako, ukirogwa kweli usijelia tena hapa. Kwa nini uijaribu sumu kwa kuilamba hata kama huamini kama ni sumu? Si umpe paka au panya uone kama itamdhuru?
 
Nenda Zanzibar uliza adui chongo halafu mwambie akuroge au nenda Pemba kuna sehemu inaitwa giningi uliza utapelekwa kalale utaona
 
Tunajua kuwa uhalisia wa thread yako ni kuwa wewe ni mganga wa kienyeji uliyejidhatiti dhidi ya kirogwa na waganga wenzio sasa hapa unafuta kuhakiki ukali wa dawa ulizojiwekea ili kujua ikiwa zinafanya kazi au la

i salute kiongozi huyo atakuwa ametumwa kuchukua kafara za watu sasa wachawi mjaribuni mupotee kabisaa kwnye ulimwengu huu
 
jaman lisemwalo lipo!, kulogwa kupo na uchawi upo sana!, ila vitu hivi havifanyi kazi vizuri hadi imani yako isuport!!
 
Hizi porojo za kwenye hii thread zinathibitisha kwamba uchawi haupo!! Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha kama amewahi rogwa na alirogwaje, pia hajapatikana mtu wa kumroga NGULI zaidi za porojo za nenda Tanga mara Sumbawanga, sijui katembee na mke wa mtu yaani hamna kitu!!
 
Last edited by a moderator:
Uchawi uko ndani ya akili yako so uchawi ni fikra zako mwenyewe jinsi unavyoamini kuhusu matukio
 
Hilo la watoto naomba mliache kwa sasa. Siko kuelezea maisha yangu binafsi naulizia uchawi. Kuna member wanaonijua uhalisia wangu na hao watoto kwa mfano Bujibuji na @aspirin. Nikielezea nilivyopata hawa watoto itakuwa thread maisha yangu ni muujiza tosha kaka.

Huo unaouita Muujiza wa maisha yako ndiyo kulogwa KWENYEWE
 
Ata mimi nimechimba sana kwenye makabuli..nimefukua mifupa mingi sana maeneo ya Tanga na bagamoyo katika kufanya tafiti flani lakini sijapata tataizo la mikosi au kurogwa labda kama sijijui..kama kuna mwenye uzoefu wa makaburi kuwa na miujiza aniambie nijue
 
uchawi upo hata farao alitumia wachawi akat anashindana na Mungu na walifanya miujiza ya ajabu.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom