Natafuta mtu wa Kuniloga.

Natafuta mtu wa Kuniloga.

Nilikutana na padri mmoja aliyekuwa anafanya utafiti kwa ajili Phd yake.
Anasema alizunguka kwa waganga wote maarufu nchini, mpaka nchi za jirani kujalibu kupata taafa zake ila kati ya mambo ambayo alisema hayapo ni "UCHAWI". Anasema kuna sumu, na mazingaombwe lakini uchawa kama ule wa kudai mtu kuruka na ungo ni uongo na kwamba hakuna anayeweza.
Ni mchango wangu tu.
Watu wanaruka aiseeee!!!
 
niletee vuzi lako na la mkeo pia,hakikisha unatenganisha,jibu utalipata ndani ya masaa,huku mpanda hizo ishu simple sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom