concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
Dizaini ya nyumba ndogo
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are single or not:A S-rose:
acha mbwembwe deskrishen gani? una mkia?
Wewe ambaye sio mzinzi hutakufa?
Hapa JF wanaweza wakaona soo kujitokeza. Ila ukinyanyua makalio ya kiume ukaenda pale corner bar, utapata secret lovers kibao tena wa daily basis.
Usisahau namiliki kampuni ya utengenezaji wa majeneza. Ziraili kashanìpa size yako. All the best mzinzi.
Ipo haja ya kuanzisha jukwaa jingine la wajinga wajinga ili wawe huru kuonyesha fikra duni na mawazo butu waliyonayo.
Ni aibu sana, tena inafedhehesha jukwaa la THE GREAT THINKERS mtu kupost upuuzi wa namna hii.
Seconded.....