natafuta mpenzi wa siri/ secret lover

natafuta mpenzi wa siri/ secret lover

Agogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
2,742
Reaction score
3,009
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are single or not:A S-rose:
 
Unasema mdada ajiheshimu wewe mbona haujiheshimu?

Mdada gani anaojiheshimu atakubali awe mpenzi wa siri? Utapata vibaka tu kama wewe. Wanaojiheshimu wanataka mapenz ya wazi yatakayopelekea ndoa.

Wewe sema unatafuta vibaka wenzako.
 
Hapa JF wanaweza wakaona soo kujitokeza. Ila ukinyanyua makalio ya kiume ukaenda pale corner bar, utapata secret lovers kibao tena wa daily basis.

Usisahau namiliki kampuni ya utengenezaji wa majeneza. Ziraili kashanìpa size yako. All the best mzinzi.
 
shkamoo babu!
 
mbona umeumia sana ndugu?
 
Hapa JF wanaweza wakaona soo kujitokeza. Ila ukinyanyua makalio ya kiume ukaenda pale corner bar, utapata secret lovers kibao tena wa daily basis.

Usisahau namiliki kampuni ya utengenezaji wa majeneza. Ziraili kashanìpa size yako. All the best mzinzi.
usijali utapata tu tenda rafiki mimi sitaki anaejiuza kama uliowazoea ww
 
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are single or not:A S-rose:
Wa siri? siri ya nini labda?
 
Mkuu but kifo hakina husiri mkuu .ila kama umechoka maisha ya bila ARV endelea
 
Njoo huku kwetu yupo mrefu mweusi umbo la wastan yeye ajieshmu. Ila msiri kasema
 
Hapa JF wanaweza wakaona soo kujitokeza. Ila ukinyanyua makalio ya kiume ukaenda pale corner bar, utapata secret lovers kibao tena wa daily basis.

Usisahau namiliki kampuni ya utengenezaji wa majeneza. Ziraili kashanìpa size yako. All the best mzinzi.
Wewe ambaye sio mzinzi hutakufa?
 
Safi sana mkuu mapenzi ya siri ina maana ya wireless mnacheza na code tu utafikiri upo majumba ya drake yaliyopo frolida duuu ya siri inabidi uchunguzwe sana ya siri
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are single or not:A S-rose:
 
Mbona haujaweka namba yako na deskripsheni yako? Hata mimi nasaka mupenzi wa siri ila nahisi hauna vigezo vyangu
 
mbona maswali mengi wengine wanajifanya watu safi mikono safi lakin ...............................fuuuuuu moshi mtupu
 
Mbona haujaweka namba yako na deskripsheni yako? Hata mimi nasaka mupenzi wa siri ila nahisi hauna vigezo vyangu
acha mbwembwe deskrishen gani? una mkia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom