natafuta mpenzi wa siri/ secret lover

natafuta mpenzi wa siri/ secret lover

Miaka 29 kutongoza kitaa unashindwa unakuja kulia mtandaoni huku unategemea nini?? Ulichoshindwa kukijua JF hapa mademu wajanja kinoma, hili tangazo ungelitoa Serengeti mida hii ungekuwa unakagua gwaride la kuchagua swala yupi anafaa kuwa secret lover wako. Hawa wanaotumia IPad wamejanjaruka mzee.

ah diha huyooooo! mpe mpe huyo
 
Oooh njoo kwangu honeeeeey ila uwe unajiweza kifedha na usiwe na kibamia (just in case...), vigezo na masharti kuzingatiwa
 
We sèma unataka wakujipondea tu huna jipya ka vipi katumiè Deto kuliko uyo unaye mtaka. Halafu ata unataka kuchukua person from no where.
JIPHAAAAANGEEE
 
Mdada awe mrefu, mweusi umbo la wastani, ajiheshimu na awe msiri pia. Mimi ni kijana umri 29 mrefu wa wastan other things we can talk in private if you are interested, i dont care if you are single or not:A S-rose:
HIV inakuita mkuu. Kuwa makini sana na intentions zako. Huyo ni pepo wa ngono anataka kukuangamiza. Huyo pepo akutoke na akome katika jina la Mungu
 
29yrs bado kijana ulizaliwa njiti nini? Au pesa za ukubwani zinakunyenvua?
 
nyege za kif*la hizo 29yrs bado kijana ulizaliwa njiti nini? Au pesa za ukubwani zinakunyenvua?

wewe ni she or he or he;she sema jinsia yako kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom