Mara nyingi architecture ndo anaweza kuweka plan then ukishajenga plumber akija mnashauliana kipi kiwe wapi naye anakupa uzoefu kulingana na nyumba ilivyo mfano kuweka bathtub, jacuzzi, floating toilet, shower mix n.k vitu hivyo vinategemeana na mfuko na ukubwa wa washroomKama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha