Meli mbovu ni dili zinatumika kukatwa na kusmelt zinayeyushwa kwa ajiliya kutegeneza plate mpya za kuundia meli maana chuma chake ni ghali na kina madini ya chuma ya kutosha ,lakini pia ndani ya meli kuna mageneretor ,piston ,engine vyote hivi ni diliBongo kwa madili aijawai kufeli,meli mbovu ni dili!?
Kubebea 'wadau' kuelekea kilingeni kwa mambo yetu yalee, maana ungo umeelemewa.Bongo kwa madili aijawai kufeli,meli mbovu ni dili!?
duuh, hao watakuwa walozi tuuhYani acha tu Mzee baba, kuna watu nimeshakutana nao wanatafuta Wale wadudu wanaowaka waka Usiku, wakaniambia hata kama nikipata tani 30 wao wananunua, niwaangalia kwa uchungu na sikuwamaliza, nadhani watakua wameshatajirika View attachment 1941978
mze mkubwa hv hao leeches ndo ruba au?Wale wamekondeana ukiwakausha hawabaki kitu
Hahahaha.. Hii biashara ni ngumu aisee na nimegundua ina utapeli mwingi ndani yake, nimeibwagaKubebea 'wadau' kuelekea kilingeni kwa mambo yetu yalee, maana ungo umeelemewa.
Vigezo inatakiwa iwe mbovu ili kui-program ki-ungo ungo.
Utani tu mjomba mshanar.
Biashara njema, najua bongo hakuna kinachoshindikana
Mbongo kwa michongo yenye 'kupiga' ni balaa. Ukizingatia uchumi wa sasa kaka, nafuu uangalie pembezoni mwa nchi.Hahahaha.. Hii biashara ni ngumu aisee na nimegundua ina utapeli mwingi ndani yake, nimeibwaga