Natafuta MELI mbovu

Bongo kwa madili aijawai kufeli,meli mbovu ni dili!?
Meli mbovu ni dili zinatumika kukatwa na kusmelt zinayeyushwa kwa ajiliya kutegeneza plate mpya za kuundia meli maana chuma chake ni ghali na kina madini ya chuma ya kutosha ,lakini pia ndani ya meli kuna mageneretor ,piston ,engine vyote hivi ni dili
 
Kubebea 'wadau' kuelekea kilingeni kwa mambo yetu yalee, maana ungo umeelemewa.

Vigezo inatakiwa iwe mbovu ili kui-program ki-ungo ungo.

Utani tu mjomba mshanar.

Biashara njema, najua bongo hakuna kinachoshindikana
Hahahaha.. Hii biashara ni ngumu aisee na nimegundua ina utapeli mwingi ndani yake, nimeibwaga
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom