tena ni chakula ghali sanaMkuu, mimi nakufuatilia kwa karibu, kupitia post yako moja kule "uzi wa vyakula" nikapata kujua kama chura tunaowapiga mateke ni dili sehemu kadhaa, zile Bull frog hind legs, wenyewe wanaita "field chicken", ni chakula safi, na bei yake ni pouwa pia. Endelea kutufumbua macho.
Mkuu nina bwawa kubwa nilijenga je ninaweza kupata mwongozo namna ya kuwafuga leeches,kuhusu mbegu na mambo mengine ndani ya miezi mitatu unaweza kupata matokea kiasi gani ukijitahidi kuwafuga vyema?Leeches are effective at increasing blood circulation and breaking up blood clots. It should be no surprise that they can be used to treat circulatory disorders and cardiovascular disease. Chemicals derived from leech saliva have been made into pharmaceutical drugs that can treat: hypertension.
Ni malighafi asili ya kutengeneza madawa ya shinikizo la damu
Naomba uingie YouTube kuna tutorial nzuri sana na kuhusu soko ni China mkuuMkuu nina bwawa kubwa nilijenga je ninaweza kupata mwongozo namna ya kuwafuga leeches,kuhusu mbegu na mambo mengine ndani ya miezi mitatu unaweza kupata matokea kiasi gani ukijitahidi kuwafuga vyema?
Dah hawa wadudu kule kwenye Bonde la Kilombero tunawaita Ruba. Wakikuganda kwenye mwili huwa hawatoki kirahisi.Leeches unawajua? Ulishawahi kujua kama ni dili kubwa?
Uwekezaji wake ni bwawa lenye tope na maji chakula chake damu ya wanyama...miezi mitatu unavuna.. Kilo unauza kwa dola.. Ishi mjini ufahamu mengiView attachment 1941968View attachment 1941969
ManyaraNiko kenya. Ninataka kufanya biashara ya mchele. Ni mkoa upi utakuwa karibu na mombasa ambapo italeta unafuu wa transport. Naomba kusaidiwa
Mary
Nenda Bangladesh ndiko kuna maziko karibu yote ya dunia nzima. Kila size utapata. Ila mara nyingi vifaa vya ndani huwa wanavitoa vinauzwa kwenye Antique shops.Kama una connections na wamiliki wenye meli mbovu (write off) nahitaji kununua ziwe kubwa ama ndogo
NB: zile na document kamili
Nimesharudi bongo mwenzangu karudi front line.Shikamoo dada bado upo?