Natafuta mdada wa kumuoa

Natafuta mdada wa kumuoa

Mkuu, huwa unakuja humu mara nyingi ukidai unatafuta mke, mchumba na wakati fulani ukaja na mrejesho kuwa umepata mke wa kukufaa.

Habari zenu,

Asanteni sana wana member wa Jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa Rose na anasifa zote za kuwa mke.

Natoa pongezi na nashukuru sana kwa jukwaa hili.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Jamiiforums

Mkuu, nyuzi zako humu nyingi ni za kibabaishaji na hazina nia ya kusaka mchumba kweli bali kupotezea watu muda. Nitaziorodhesha:
Msaada: Natafuta mchepuko wiki ijao uwe unakaa
Hi..member wa Jf
wiki ijayo nategemea kwenda mbeya kwa mambo yangu ya kikazi na takaa wiki mbili naomba kwa kupata mchepuko wa mda tuu wa wiki mbili tuu

kwa aliye tayari ani Pm haraka nafasi nichache sana
Ushauri: Wanaume na Wanawake
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke hujaowaaa wala kuolewa na wala huna mchumba usipende kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke mmoja.

Unatakiwa uwe nao kama watatu hivi na kuendelea ili mmoja akizinguwa unachukuwa mwingine.

Huo ni ushauri wa bure kwa binadamu rijali
Msaada: Wanawake walimu na manesi
Nahitaji mwanamke wa kuoa baada ya kufanya uchunguzi walimu ndiyo wake wazuri so nahitaji kuowa mwanamke, walimu ambaye yuko tayari ani pm umri isizidi miaka 30.

Tulishaachana, lakini bado ananitumia hela kwenye akaunti zangu

Habari zenu wana JF,

Niliwahi kuwa na mdada mmoja hivi ambaye tulidumu kama miaka mitatu hivi.

Ila mnamo mwezi wa kwanza mwaka huu nikaamuwa kumwacha yeye ni mwalimu wa Serikalini na mimi pia ni mfanyakazi wa Serikalini ila siyo mwalimu na wote tuna level ya degree.

Ila sasa toka nimeamuwa kuachana naye bado ananitumia hela zake kwenye mpesa na mda mwingine kwenye account yangu maana anaijuwa, na nikumuuliza anasema nimeamua kukutumia tu kwa sababu nakupenda sana.

Jamani naombeni msaada wa mawazo huyu dada ana maana gani?Au anamanisha nini kunitumia hela zake japo huwa anatuma kuanzia elfu hamsini mpaka laki mbili na kama ni vocha huwa ananitumia.

Naombeni kujuwa maana ya huyu dada ana maana gani?
Ushauri: Kuoa mwanamke mwenye mtoto au asiye na mtoto
Habari ya jioni wanaJf,

Mini ninawatoto wanne kwa wanawake tofauti tofauti yani mmoja yupo Dar wa pili Morogoro, watatu Mbeya na wanne ni Msukuma yupo Mwanza.

Sasa japo nimewazalisha ila siwataki kuwaowa nataka kuowa mwingine kabisa sasa nauliza hivi je kanisani wakisikia ninawatoto hao ndoa itafanyika?

Na je nimwambie huyu mwanamke au nikaushe tuu na je, Hawa watoto niwakusanye nianze kukaa nao?
Nisipowa saizi watoto nitawaongeza bure.

Naombeni ushauri
Msaada: Mke mwema
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28, nimwajiliwa elimu yangu ya degree moja na CPA(T). Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye elimu ya form four or form six na diploma tu mwenye degree siwahitaji na awe mwalimu, nesi, au afisa ustawi wa jamii miaka kuanzia 20 -27 .
Nicheki kwa johnjerryson2012@gmail.com

NB: Nataka mwanamke aliye serious tuu
Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf
Habari wana Jf,

Niliweka habari humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata, nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa saba usiku na nikajitahidi tukaonana naye.

Siku moja akanipeleka kwake kumbe yule dada ni mke wa mtu na alikonipeleka alishapanga chumba kimoja mbali na kwake na sijui alipanga ni cha nini wakati ameolewa sasa yaliyonikuta mimi sipendi mwingine yamkute humu ndani.

1. Yule dada anatumia kile chumba alichopanga kama guest.

2. Mume wake akiondoka ndiko anakolala na midume mingine hata mimi nililala huko.

3. Mume wake ananitafuta baada ya kukuta picha zangu kwenye simu yake japo nimemuelekesa amedai nimpe million tatu ndiyo anisamehe.

4. Mume wake amesema nisipo mpa hiyo hela picha zangu ataziweka kwenye mitandao akinichafuwa yani hapa nawaza maana watu wanaonifahamu ni wengi japo hata mimi ninapicha nyingi tu huyo mdada.

Toka juzi huyo mdada nikimpigia simu anapokea mume wake nimejaribu hata saa nane usiku bado anapokea simu na kunitishia kuwa bado naendelea.

Sasa naombeni ushauri nimwambie huyo dada kwa kutumia E-Mail kuwa atoroke aje huku ninakokaa na mtoto wake au nimlipe tu hela huyo mume wake au niwapotezee japo mdada anajuwa ofisi ninayofanya kazi.

NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE MIMI JAMANI
Msaada mwenye number ya Recho
Habari za wana JF.

Naombeni msaada mwenye number ya mdada Recho mwimbaji wa nyimbo za kibongo anitumie au anipe.

Maana kati ya wasanii wa kibongo wa kike nampenda sana huyu dada naombeni msaada wenu maana nimejitahidi kuitafuta ila mpaka sasa sijawahi kuipata.

NAOMBENI MSAADA WENU.
Najuta kutongoza wanawake wa Dar!
Habari zenu wana JF,

Nakumbuka kuna kipindi niliwasifia sana wanawake wa Dar, na nikawasihi ambao bado hawajaoa waje kuoa wanawake wa Dar kwa kuwa ni wazuri sana. Ila sasa kilichonitokea mimi na hawa wanawake wangu nimejikuta wanawake wanne wana mimba zangu, yani wawili ni wanafunzi wa secondary, mwingine ni mwanafunzi wa TIA na mwingine ni mfanyakazi wa taasisi moja hivi.

Ila kinachoniumiza wote hao nimepima na kweli nikakuta wana mimba na nimewaambia watoe wanazinguwa kutoa mimba, na nikiwaza hawa wanafunzi ndiyo nahisi miaka 30 mara mbili maana wako wawili ambayo itakuwa 60 inaningojea.

Hapa natamni nikimbie tena Dar au nihame eneo hili au nijiue maana mie hawa wanawake siwataki, sina pa kuwapeleka na sijajipanga kuoa.

Ombi langu: wanawake wa Dar acheni tabia za kulengesha mimba kizembe na muwe mnakubali kutumia condom.

Naombeni msaada wa mawazo, je, niwakimbie niende hata Tabora au Kigoma au nikomae nao hapahapa jijini? Au nikatae mimba sio zangu kuwa wananisingizia hao wanafunzi?

Msaada wa mawazo tafadhali
Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi
Habari zenu,

Nilikuwa naomba msaada wenu au ushauri wenu.

Nimekutana na mwanamke kwenye mahusiano yeye ana miaka 25 mimi nina miaka 27 ila hatujawahi kukaa hata wiki moja bila kudundana ngumi za ukweli.

Yani akikosea hataki kueleweshwa na hata kama nikikosea mimi yeye hataki kuniambia yani yeye ni ngumi tuu.Yani mkipishana kidogo mnashikana mnaanza kudundana sasa mimi nimefika stage nimechoka kupigana.

Maana siku za juzi juzi nilimpiga hadi kazindukia hospital sasa mimi tabia hii nimechoka.Maana nishamwambia tuachane yeye anadai ananipenda sana na hawezi kuachana na mimi kilahisi tuu.

Naombeni msaada wenu nifanyeje?Au nimkimbie nihame mkoa ? Msaada tafadhari.
Msaada: Huyu mwanamke anaelekea kunishinda
Habari za leo wana jf

Kuna kanafunzi fulani kako form four nimeshakatongoza kashakubali na hadi nimekaonyesha kwangu ninako kaa na huwa anatambiya ya kuja wikend yani siku ya jmosi na jpili kwa ajiri ya kunisaidia usafi wa hapa ninapokaa....ila sasa kila akija hataki kutoa mzigo eti anaogopa mimba na mambo mengine maana anadai hsjawahi kufanya na kunawikend iliyipita tuligombana mpaka pichu ikachanika na leo mda huu anasema yuko kwende gari anakuja ....sasa naombeni msaada wenu nimfanyeje hadi anipe maana nimgumu kutoa duh hadi nimefika stage ya kukata tamaa msaada please!
Mrejesho: Mchumba polisi
Habari wanaJF,

Siku chache kidogo zimepita nilikuwa nauliza njia za kumtongoza polisi na nikapewa nyingi tuu na nikazifanyia kazi sasa jana asubuhi nikamkuta mdada mmoja hivi anaitwa Emmy ni polisi na ni mzuri kweli na huwa namuona ona mara nyingi tu barabara.

Alikuwa peke yake mwenzake alikuwa katoka nikamtongoza kazinguwa nikamkomalia sana bado kagoma, nikamkata mkono bahati mbaya saa ikakatika ikadondoka chini aisee alinipa kofi moja hivi duh nilivyo amka nami nikamkata nikampa ngumi moja hadi chini baada ya dk tano nilipewa kichapo cha nguvu na nimelala police ndiyo nimetoka asubuhi hii.

Saizi naugulia tu maumivu ila siachi mpaka nimpate, na ushauri wemu wa kumpiga polisi sitarudia tena ni ushauri mbaya sana.
 
Nadhani umempa vidonge vya kutosha sidhani kama atarudi tena kwa id hii
 
Nadhani umempa vidonge vya kutosha sidhani kama atarudi tena kwa id hii

Lengo sio kukomoana mkuu, ni kuwekana sawa hasa pale ambapo watu wanajaribu kuwa serious kisha wengine wakaleta mzaha.

Mtu kama huyu akitapeli watu huko tunaonekana wote hatuna maana... Nimetimiza wajibu wangu kaka/dada.
 
Mh! Huu uzi ni wa tatu unatafuta girl kweli hujapataga tu?
 
Kila la heri ktk jitihada zako za kutafuta mchumba kwenye mitandao ya Kijamii.
 
mh! huyu anatuona ss humu jf wajinga????
ndoroooobo


Ndorobo mwenyew kama sijapata napata matapeli nifanyeje na taleta mwingine tena najuwa wivu wa kike unawasumbuwa tuu
 
Hahahaha! Jamaa amepata alichokitafuta. Anafikiri JF ni sawa na FB kumbe amesahau kuwa hapa ni Great Thinkers, Think and Do Tanks!
 
Ndorobo mwenyew kama sijapata napata matapeli nifanyeje na taleta mwingine tena najuwa wivu wa kike unawasumbuwa tuu

jf wooote ni wanawake wewe??? teh teh! unatafutaga sifa....! uwooooooo, aibu mtu mzimaaa ww.
 
asante sana mkuu

eti asante sana mkuu. Pyuuuuuuuuuuu. Unafikiri nilichoandika kimetoka moyoni. huoni wadau walivyokugeugeuza hapo juu hadi aibu yako. tumekugundua unachezea akili zetu hapa.
 
Hahahahahahaha....umevuliwa nguo halafu unabong'oa?...uliona watu wote masonso wenzio humu?
Nyambaaaafff!
 
Back
Top Bottom