Natafuta mdada wa kumuoa

Natafuta mdada wa kumuoa

Nahisi huyu jamaa ndoanaanza kubalehe..Acha kufanya watu wajinga kaswampe huko mtaani kwenu..mxuuuu ulimbukeni Mzigo kweli.
 
Natumaini ni wazima wa afya,

Natafuta mdada ambaye yuko serious na yupo tayari kuolewa awe anatoka mkoa wa MOROGORO au MBEYA au IRINGA au NJOMBE au Jijini DAR.

Sifa;
1. Umri miaka 18--25

2. Elimu kuanzia darasa la saba mpaka diploma tuu

3. Awe nesi,mwalinu au police

4. Asiwe mfupi sana

5. Asiwe mlevi wala mvuta sigara na madawa ya kulevya

6. Awe msafi wa mwili na nguo zake

8. Mengine tutalekebishana

Mimi nina degree moja na CPA(T) na nina umri wa miaka 27 na nimwajiriwa Serikalini.
AMBAYE YUKO TAYARI TUWASILIANE KWA johnjerryson2012@gmail.com

Note;
Kama huna sifa taja



pole broo ,,,,unataka tu waenda kazini usiku ili upate mda wa kuchepuka au
 
Back
Top Bottom