Mrejesho: Mchumba polisi

Mrejesho: Mchumba polisi

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,075
Reaction score
358
Habari wanaJF,

Siku chache kidogo zimepita nilikuwa nauliza njia za kumtongoza polisi na nikapewa nyingi tuu na nikazifanyia kazi sasa jana asubuhi nikamkuta mdada mmoja hivi anaitwa Emmy ni polisi na ni mzuri kweli na huwa namuona ona mara nyingi tu barabara.

Alikuwa peke yake mwenzake alikuwa katoka nikamtongoza kazinguwa nikamkomalia sana bado kagoma, nikamkata mkono bahati mbaya saa ikakatika ikadondoka chini aisee alinipa kofi moja hivi duh nilivyo amka nami nikamkata nikampa ngumi moja hadi chini baada ya dk tano nilipewa kichapo cha nguvu na nimelala police ndiyo nimetoka asubuhi hii.

Saizi naugulia tu maumivu ila siachi mpaka nimpate, na ushauri wemu wa kumpiga polisi sitarudia tena ni ushauri mbaya sana.
 
hahahahah kuna watu wapo funny sana, umenifanya nicheke asubuh hii, sema now natumia JF mobile ningekupa like
 
Back
Top Bottom