Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,075
Reaction score
358
Habari zenu,

Nilikuwa naomba msaada wenu au ushauri wenu.

Nimekutana na mwanamke kwenye mahusiano yeye ana miaka 25 mimi nina miaka 27 ila hatujawahi kukaa hata wiki moja bila kudundana ngumi za ukweli.

Yani akikosea hataki kueleweshwa na hata kama nikikosea mimi yeye hataki kuniambia yani yeye ni ngumi tuu.Yani mkipishana kidogo mnashikana mnaanza kudundana sasa mimi nimefika stage nimechoka kupigana.

Maana siku za juzi juzi nilimpiga hadi kazindukia hospital sasa mimi tabia hii nimechoka.Maana nishamwambia tuachane yeye anadai ananipenda sana na hawezi kuachana na mimi kilahisi tuu.

Naombeni msaada wenu nifanyeje?Au nimkimbie nihame mkoa ? Msaada tafadhari.
 
CHIEF JJ

Pole sana huyo mwanamke atakuletea kes buree jiepushe nae tu mwambie atafute bondia mwenzie
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke wa kupigana hafai ndugu yangu.

Nakushauri usiachane nae kiholela, fata tu process zote za taraka ili mwisho wa siku asikudunde kwa kutaka kumuacha.

La sivyo either wewe utaishia jela au yeye ataishia jela.
 
Mo11 umeona fursa.
Nitonye ameshatoa matokeo ya mpambano.
Humphnicky ameshatoa ushauri kwa aliedundwa.

Mkuu chukua Shauri hizi tatu Za hawa watu wanakutakia mema.
asantee sana mkuu
 
CHIEF JJ

kwanza kabisa binafsi hata kama mngekuwa mnalingana miaka mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu na anatakiwa akuheshimu kama mwanaume na anatakiwa ajishushe kwako sasa ukiona mwanamke unampa kofi na yeye anakuludishia ujue kabisa hata ukija kuzaa nae mtoto atakuwa na tabia hiyohiyo,kama tunavojua akili kwa mtoto 85% anatoa kwa mama....
so my friend think big before you make action
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke wa kupigana hafai ndugu yangu.

Nakushauri usiachane nae kiholela, fata tu process zote za taraka ili mwisho wa siku asikudunde kwa kutaka kumuacha.

La sivyo either wewe utaishia jela au yeye ataishia jela.

asante maana nimevumilia nimeshindwa huyu mwananke ni balaaaa
 
kwanza kabisa binafsi hata kama mngekuwa mnalingana miaka mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu na anatakiwa akuheshimu kama mwanaume na anatakiwa ajishushe kwako sasa ukiona mwanamke unampa kofi na yeye anakuludishia ujue kabisa hata ukija kuzaa nae mtoto atakuwa na tabia hiyohiyo,kama tunavojua akili kwa mtoto 85% anatoa kwa mama....
so my friend think big before you make action
okay nashukuru kwa ushauriii
 
Paulo Sergio De Souz hebu msome huyu jamaa hapa...nilizani hii topic tulishaikava!

Popote penye ugomvi wowote kati ya mwanamke na mwanaume, mwanaume ndio mpumbavu. No disrespect brother, check yourself.

Spot on bro! ni udhaifu wa hali ya juu kupigana na mwanamke...!
 
Last edited by a moderator:
Popote penye ugomvi wowote kati ya mwanamke na mwanaume, mwanaume ndio mpumbavu. No disrespect brother, check yourself.

yani unaweza ukawa umekaa sebureni hapo labda mlipishana asubuhi ukashitukia kofi nzito usoni bila kutarajia unataka kumuuliza kunanini unashangaa lingine,,,,,wew hapo utavumilia?
 
kwanza kabisa binafsi hata kama mngekuwa mnalingana miaka mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu na anatakiwa akuheshimu kama mwanaume na anatakiwa ajishushe kwako sasa ukiona mwanamke unampa kofi na yeye anakuludishia ujue kabisa hata ukija kuzaa nae mtoto atakuwa na tabia hiyohiyo,kama tunavojua akili kwa mtoto 85% anatoa kwa mama....
so my friend think big before you make action

Mwanamke atakiwi kumuheshimu mwanaume peke yake bal wote waheshimiane unawezaje kumuheshimu mtu asiyekuheshimu na kupigana kumeshapitwa na wakat
 
Back
Top Bottom