Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Mi japokuwa ni mgeni humu JF lakini napenda kumuunga mkono Dada Asha kwani hii sehemu sio ya kufanya mzaha kama wengi wanavyoitumia.. Big up Asha!!
 
Partner nikadhani unatafuta sijui unamtafutia mtu!

Nwy nashukuru kwa niaba ya wale wanaokua wanahitaji wenza kweli maana wengi wetu mi nikiwa mmoja wapo hua nachukulia kama utani.Ila kuna mahali nilikuja kugundua kwamba wapo wanaohitaji na kutafuta kweli kwahiyo hatuna budi kusoma mazingira kabla ya kuweka au kufanyia utani uzi wa mtu!
Na wale waombaji nao waandike kwa style itakayoashiria kwamba wako siriaz....naamini kuna watu hapa wenye mbavu zao wapo hapa hapa kwahiyo tafutaneni tufurahie muungano!!

I am Serious Lizz, if you real mean honest please let us contact and meet so as we can agree with what we can compromise. What matters is to highlight issues very openly. Actually on my side I am a grown person and have sort of history if you can agree with me we can have marriage. My Cell.phone: 0716 529415.
Thank you.
Kay Dimosso
 
Nenda Qbar utapata bila shaka!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
By kigan: mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29. Elimu yangu ni diploma. Ni muajiriwa wa wizara ya elimu. Umbo langu ni saiz tu si mnene wala si mrefu sana. Dini yangu ni muislam. Naishi zanzibar. Namba yangu ya cm 0773291168. Natafuta mchumba wa kike. Awe mkweli. Muaminifu na mpenda maendeleo. Asiwe mlevi wala mvutaji. Kama ana mtoto sio mbaya. Awe na elimu yoyote tu.
 
its not acceptable to put all of your details here we mwenyewe umesugest PM, sitegemei mtu unaye mpata unamuoa moja kwa moja akisha kucontact kuna period ya kuchunguzana so thats why kuna contacts mnapeana mambo mengine mntaangaliana thru physical contact and charting its not true kwamba kutafuta mchumba humu now is just like a product no usipotoshe fursa....
 
jamani nimejitokeza kwa mara ya kwanza natufata mchumba wa kike wa kuoa awe na miaka kati ya 18- 21, awe na elimu ya chuo au anaendele kusoma, napatikana kwa 0767692744
 
im looking for friends 2 chart,4 both sex ma number are 0659855465 and 0768540049,no matter who ur are, u are my relative coz we are Tanzanian,much respect 2 u all,thanx
 
Yeah... nilipo observe most posts zipo too brief i thot let me give it a go....


Those that go searching for love, only manifest their own loveless ness. And the loveless never find love, only the loving find love. And they never have to seek for it
BUT
There are two kinds of sparks, the one that goes off with a hitch like a match, but it burns quickly. The other is the kind that needs time, but when the flame strikes... it's eternal, don't forget that

“The minute I heard my first love story,
I started looking for you, not knowing
how blind that was.
Lovers don't finally meet somewhere.
They're in each other all along.”
― Rumi, The Illuminated Rumi
They're in each other all along.”
 
Those that go searching for love, only manifest their own loveless ness. And the loveless never find love, only the loving find love. And they never have to seek for it
BUT
There are two kinds of sparks, the one that goes off with a hitch like a match, but it burns quickly. The other is the kind that needs time, but when the flame strikes... it's eternal, don't forget that

"The minute I heard my first love story,
I started looking for you, not knowing
how blind that was.
Lovers don't finally meet somewhere.
They're in each other all along."
― Rumi, The Illuminated Rumi
They're in each other all along."

I don't know… Maybe am wrong BUT I believe love is not searched… It is something that just happens. Kwamba you can just go out there and saying natafuta Love? Unaweza kuwa ‘infatuated' ukadhani kuwa ni Love hali sio. Hata hivyo naomba nikiri kuwa its complicated…
 
I don't know… Maybe am wrong BUT I believe love is not searched… It is something that just happens. Kwamba you can just go out there and saying natafuta Love? Unaweza kuwa ‘infatuated' ukadhani kuwa ni Love hali sio. Hata hivyo naomba nikiri kuwa its complicated…

Its complicated when you make it complicated but mapenzi ni wewe jinsi unavyotaka......I give you a story ni fun story sana kwangu as you know mnapokuwa shule kuna watu they appeal stupid or fun people sometimes...when I was in high school
siku moja tuko prepo mchana alisimama mtu ambaye akuwa rafiki yangu ivyo akaenda mbele na kusema jamani naomba mnisikilize kweli everyone aka make attention kusikiliza, Jamaa akasema """""""mimi niliyesimama apa mbele yenu natafuta msichana ambaye atakuwa mpenzi wangu, watu walitaka kucheka lakini jamaa akaendelea kusema niko apa sio kama nafanya shoo ila nazungumzia maisha yangu ya mimi na uyo mpenzi wangu aliye tayari namba yangu... au anitafute prepo jioni""""""

What I wonder jamaa yuko na msichana ambaye alimpata kwa kusema mbele za watu, yuko naye mpaka sasa wanaishi pamoja.....

if you have love you will get someone to love you and marry you
 
if you have love you will get someone to love you and marry you

Herrypeter unaishi dunia gani mkuu? How is it a gurantee if you love you get someone to love and marry you?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom