ruddiricious
Member
- Jan 18, 2014
- 8
- 0
im ready to love u pm me
Acha wee!!!!!
im ready to love u pm me
JAMANI NIMETANGAZA KUTAFUTA MCHUMBA MAToKEO YAKE lijitu IMECHUKUWA E-MAIL YANGU lIMEANZA KUNTUMIA MAMBO ya kipuuzi+mitusi halafu lianaume sasa hadi imenibidi ntoe post NINI HII! au nliielewa tofauti hii love connect huenda si kwa matumizi nlozania mie au huwa haiwezekani kupata MPENZI humu??? sababu naona watu masihala yamezidi hata kama mtu uko serious..Uhuu!! najua wengi wanaotubeza sie tunao tafuta wachumba humu huenda wameoa au wameolewa bt sio vzuri wana jf kila kitu kitumike kadri ya matumizi yake yanayo stahili, kama huhitaji mchumba ya nini kuanza kubeza wenzio wenye nia hiyo lol tuelimeke wajemeni.
madhara yake hapo juu ni mamalamiko ya KAUK
Upo sahihi sana lazima tujue tunafanya nin kabla ya kupost ila hii tabia ya kutafuta wachumba na wapenz kwenye mitandao is t real working jaman au ni utani2,,,,.Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect . Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu
Tips kabla hujatuma
Na mengineyo ya muhimu
- Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
- Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
- Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi
- Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
- Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes