Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

Nilichojifunza wengi hawamaanishi.

Kwa wale wanaomaanisha nadhani ushauri wa AshaDii ni bonge litawafaa sana.

Hongera sana dada. Nadhani madomo zege wote wamekusoma.
 
bibie nimefungua nikajua wewe ndio upo lonely
Hahahahaaa hata mimi,ila nikajiuliza anatafuta mchumba wa KUMUOA/KUOLEWA mh inawezekanaje vyote??? Dah nilifikiria mengi kweli dah kumbe msg kwa umma!
Thanks madame.
 
advice nzuri. nlichokikuta sicho nlichotegemea. mi nlikuja humu kukuambia umenipata kama unataka kuolewa. lakini yote heri. haya maujanja ulonipa ntayatumia kwenye thread ntakayo anzisha soon. Kaeni mkao wa kula. Mia

Mwenyewe nilitaka kushanga nikawahi fasta fasta wabibi siku hizi dili wanajua kubembeleza

Hahahahaaa hata mimi,ila nikajiuliza anatafuta mchumba wa KUMUOA/KUOLEWA mh inawezekanaje vyote??? Dah nilifikiria mengi kweli dah kumbe msg kwa umma!
Thanks madame.

hahaha... Sio mimi jamani... Kama kweli mpo serious mnatafuta wachumba (nao wapo online).... Semeni, Kuna mabinti watafuta wachumba na watafurahi kusikia kua kuna guys in need. Kikubwa toa sifa zako mie nitaziforward then you will be contacted.

@Fidel, mume wangu akinipiga boot, naja kubahatisha bahati yangu kama kweli wapenda wabibi.....
 
Nilichojifunza wengi hawamaanishi.

Kwa wale wanaomaanisha nadhani ushauri wa AshaDii ni bonge litawafaa sana.

Hongera sana dada. Nadhani madomo zege wote wamekusoma.

Thanks Mzee.... Appreciated....

Didi namaste ... Thread ishachakachachuliwa hii

hahaha.... Hii ndo JF Viper! Salam namaste yaar'
 
hahaha... Sio mimi jamani... Kama kweli mpo serious mnatafuta wachumba (nao wapo online).... Semeni, Kuna mabinti watafuta wachumba na watafurahi kusikia kua kuna guys in need. Kikubwa toa sifa zako mie nitaziforward then you will be contacted.

@Fidel, mume wangu akinipiga boot, naja kubahatisha bahati yangu kama kweli wapenda wabibi.....
Aaaah mi nataraji kumweka mwana mwali *ndani soon! Labda Fidel80 na wengine
 
hahahah.... Tafadhali..... Taratiiiibu with Mwali, She is spoken for.....lol (sijui hio habari unayo?)
 
du , kumbe huku kuna mambo hayao, mi ndio kwanza naingia humu kwa mara ya kwanza, ngoja nikafikirie halafu ntarudi kusaka mchumba:poa
 
Ndinda usiniambie huwa washinda tu Jamii photos? Mind telling me majukwaa mengine ambayo hua watembelea?

BTW Kheri ya mwaka mpya Mkuu....
 
asante na kheri ya mwaka mpya pia, humu nimegundua leo, huwa nashinda photo forums, pia napenda kutembelea kule kwenye vitimbwi, haha, na mara moja moja international forums na business forum, ila muda mwingi huwa napotezea hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1394666&page=42 na hapa http://www.skyscrapercity.com/forumdisplay.php?f=3178, as kiligoland, karibu sometimes, ila nimepapenda hapa pia, ntarudi tena

So typical of Ndinda kua Links ni about wild life na sector ilokaa ki Promotion of Tanzania.....lol... I do see you now and then katika Internationale forum ila mie sio mdau vile wa business; will have to start thou.... Siku moja moja ukichoka uwe unakuja na pale Chit Chat.... it is kind of nice.... You want things about family, friends, and relationships (hasa Love) njoo MMU.

Karibu saana na mimi natembelea hizo links pia....
 
kama kawa, nimefagilia sana, ntakua mdau loyal hapa, haha
 
hahahahaaa hata mimi,ila nikajiuliza anatafuta mchumba wa kumuoa/kuolewa mh inawezekanaje vyote??? Dah nilifikiria mengi kweli dah kumbe msg kwa umma!
Thanks madame.

nilifikiri ni mie tu, nikafungua kwa bidii nijue kulikoni
 
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa – jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect…. Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect… Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product…Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu…

Tips kabla hujatuma

  • Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
  • Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  • Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi…
  • Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
  • Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes…
Na mengineyo ya muhimu…

Hivi ulikwishaga mpata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom