Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

Hao wazur,,, sio watu wa kulalamika ila akikasirika unamjua ,,,kwa research yangu huwa wana upendo wa kweli coz kutongoza hawajui
Kama kutongoza hajui tegemea kubakwa kila siku... USIDHANI KUTONGOZA KUNAISHIA SIKU MNAFUNGA NDOA..
 
k
Ungepata hata wawili wa kukusalimia mtaani kwako usingekuja kutujazia threads humu...,inaonesha umekosa soko mtaani kwako!! Usichojua tu ni kwamba waliopo humu si malaika,ni haohao wanaokukataa mtaani kwako, jiandae kisaikolojia ukikutana nao...
kaka usipende kukomment kitu usichokijua,,am sure hata kama una dada mzr wengine nawatoa nock out,,,by the way ,,,olewa na mtu uliempenda coz ndoa ni kama kifungo cha maisha ,,,usifanye kosa hapo,,,nimemaliza wengine am sure watanielewa.
 
kabinti ka Kihaya kana mikogo hatari sana Nyegera Turabonanga Nyekya.
 
Tatizo la wahaya umalaya,majivuno,kiburi na kutopenda ndugu wa mwanaume any way nna miaka 30 elimu yangu ni f6 nna kampuni yangu na nyumba mbili za maana tu, nnayo magali mawili ya kutembelea na account yangu iko vizuri kama uko tayali ni pm ntakuoa.
WW tayari una negative attitude iyo kuja kuitoa ni kazi mno ila kila mtu ana uniqueness ambayo Mungu alimuumbia so Mungu akusaidie hayo mawazo yabadirike,,,by the way nataka mwenye kazi tu izo mali tungetafuta wote tu.haijalishi una nn!
 
halafu haya mabango ya kutafuta mume yamezidi sana kipindi hiki,

hivi wasichana kuishi bila mme ndo mmeshindwa kabisaaa sasa mnatafuta backup
 
hivi uko mtaani kweli hampati watu? maan humu ata mrejesho hamleti kama mmeshapata leteni mrejesho ili na sisi tuweke mabandiko yetu
.....jamani leteni mrejesho maana ms shunie mrembo wa karne ànataka nae pia ATANGAZE NIA
 
Mmmmh sijui km utapata,muombe mungu akupe umtakae kwa masharti hayo huku hutampata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom