Nilitaka nikuite ila date of jf birth haikidhi.RRONDO ushapita huku..
hiyo paragraph ya kwanza ilikuwa kama ananitaja mimi vile..
Unajua Kamiss Tarented ukipunguza masharti uje tuongee.
NB:
weka picha kwanza, isije kuwa una masharti kibao ukija kuonekana live bonge la kituko, hakuna wa kukuangalia mara mbili!! ili kuepuka kupotezeana muda ungeambatanisha na picha yako halisi!
unaimbisha mdogomdogo .Waweza fanikiwaShunieee nilipanga tuwe pamoja eeh nashangaa kwa nini umebadilika ghafla
Marafiki zangu wanakujua wanasema aah , hata yeezus naye anakuja anasema .......![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nilitaka nikuite ila date of jf birth haikidhi.
Believe me huwezi kumpata huyo unayemuota!Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
Concept frm great thinkerhaya maombi ungeyabandika kwenye mbao za matangazo halmashauri ya mara/musoma/tarime/bukoba usipotezeee watanzania muda
Utakuwa germinating seed of USHOGAni dume hilo linatania
Msitunikwahyo sisi tusiokuwa na chura twende wapi?
Kweli hali ngumu......Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).